Recent content by pilipili hoho

  1. P

    JamiiForums Tanzania Jengo la Bilioni 46 kujengwa kwa bilioni 10, natanguliza pole kwa watumiaji

    Tatizo ni Watanzania wenyewe
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Tatizo sio Rais Magufuli Tatizo ni sisi Watanzania..
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Watanzania kusimama Wenyewee!!

    Tatizo sio Serikali Tatizo ni Weww
  4. P

    JamiiForums Tanzania "Rambirambi" au "Rambaramba"

    Mnaacha kujadili mambo ya msingi mnajadili Rambirambi Kwani kuna shida gani serikali isijenge nyumba za waathirika huko Bukoba ambao watoto wao wamefaulu kwenda chuo kikuu.. Halafu hela hizo zikatumika kuwapa mikopo watoto wa huko Bukoba.. Kupanga ni kuchagua Serikali inajua inafanya nini...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    Mnaacha kujadili mambo ya msingi mnajadili Rambirambi Kwani kuna shida gani serikali isijenge nyumba za waathirika huko Bukoba ambao watoto wao wamefaulu kwenda chuo kikuu.. Halafu hela hizo zikatumika kuwapa mikopo watoto wa huko Bukoba.. Kupanga ni kuchagua Serikali inajua inafanya nini...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hivi maafa ya Kagera zilichangishwa kiasi gani na zimetumikaje?

    Mnaacha kujadili mambo ya msingi mnajadili Rambirambi Kwani kuna shida gani serikali isijenge nyumba za waathirika huko Bukoba ambao watoto wao wamefaulu kwenda chuo kikuu.. Halafu hela hizo zikatumika kuwapa mikopo watoto wa huko Bukoba.. Kupanga ni kuchagua Serikali inajua inafanya nini...
  7. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Bukoba yalaani RAMBIRAMBI za tetemeko Bukoba kuliwa na Serikali

    Naulizia ile kesi ya wale watumishi waliotuhumiwa kufungua Account ya maafa Kagera "inayosemwa kuwa ni feki" Imefikia wapi
  8. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ajira mpya zinaendelea, zilisimama kwa miezi miwili pekee

    Watumishi ni wanafiki Kumbe Promotion zipo na mnalipwa.. alafu mnalalmika Acheni kulalamika.. Acheni unafiki.. Mnalalamika mnataka Rais wetu kipenzi aonekane hafanyi kazi.. Kumbe mnalipwa mpaka malimbikizo ya madeni.. Acheni unafiki
  9. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Mbona waandishi hawampigii makofi
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwijage: Kazi yangu ni 'kupiga sound' wawekezaji waje, sio kujenga viwanda

    Nina imani na Mh Dr. JOHN P. MAGUFULI... Ataushangaza Ulimwengu.. Sasa hv anarekebisha Madudu ya Serikali ya CCM iliopita.. Baada ya Kuondoa Makosa na Upigaji dili wa Wafanyabiashara wezi wa Tanzania.. Tutashuhudia neema kwa kila Mtanzania Tuwe na Subira na Uvumilivu.. Tumpe muda Mheshimiwa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Aliyempigisha ‘deki’ Mwalimu aigomea CWT

    CWT acheni ubabaishaji na kutuhadaa.. Mkurugenzi amefanya kazi yake kwa nia njema ya kuwarekebisha walimu vilaza.. Hamtamuweza Mkurugenzi... Ni boss wenu
  12. P

    JamiiForums Tanzania RC Gambo amwagiza RPC Arusha kumuweka ndani mwandishi wa Azam Tv muda huu

    Hawa waandishi hata wakiambiwa hawasikiii.. Hata yule wa ITV aliambiwa asirekodi Ye akarekodi... Wengi wao Vilaza Heko:Mheshimiwa Gambo
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa mgawo wa mikopo ya wanafunzi kupitiwa upya

    Sio lazima kusoma
  14. P

    JamiiForums Tanzania Vipengele vitano: Muswada wa Huduma za Vyombo vya Habari

    Muswada huu ni mzuri na Serikali ya awamu ya tano inalenga kuwasaidia Waandishi wafanye kazi zao kwa weledi Naaamini Waandishi wengi watakubaliana na huu muswada
Back
Top Bottom