Recent content by Pierefataki

  1. P

    Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

    unaaaa,,achen kupakazia vitu vya upuuz,chuki,unafki,uzandki,ubinafsi hiv ni baadh ya vitu visivyojenga na havileti maendeleo,hapa watanzania mnaonyesha jins gan akili zenu zilivyo dumaa,remember blind mind is ahouse of Devil.
  2. P

    Lema: Nitabeba zigo la mabilioni ya Uswisi

    Kwa hilo ntakuunga mkono,hapo ntakuita jembe maana hawa mafisadi wanatia kichef chefu,wengne bila hata ya aibu eti wanapiga kampeni chaf wanataka wagombee urais mwaka 2015,kutwa kutwa kuzunguka makanisani kutaka waonekane watakatif,kapambane jembe tuko pamoja.
  3. P

    wahaya: mwaka mpya 2013

    Ni mwaka wa oote sio wahaya peke yao
  4. P

    Wanao mwandama Zitto kwa sababu ana nia ya kuwania urais ni wabakaji wa democrasia

    Tatzo la chadema woote matapeli tuu,wanauchu wa madaraka,hawqna jipya,hasa huyo mkengeza ana uchu saana na ikulu na kwa taarifa yake haupati ataishia kuropoka tuu
Back
Top Bottom