Hesabu miaka ambayo Yanga alikuwa bingwa toka 1998 akashindwa.mingine mweke kwenye kushindwa ubingwa wa tanzania.kuna klabu ilishinda ubingwa ndio ilshindwa kwa kuwa ni klabu moja tu aliwakirishal.hizo hesabu za std 4 ya kina Jemedari na Oruma msituambukize
Kama wanapenda kufanya biashara Tena na taasisi za umma kwanini wanawekwa kwenye ofisi za umma Tena nafasi zenye maamuzi?ni Jambo zuri kujiajiri achia nafasi kwa watu wengine
Habari za Yanga zinauzika.majobless wa Yanga wanamkwanja wa kununua habari iwe YouTube, Twitter, TikTok, Facebook nk.bando SI issues kwao.hata magazeti ukitaka kuuza andika kuhusu yanga.muulize Jemedari asipoitaja Yanga hakuna maokoto boss efm anawakata posho.yanga wamesomba coaster zote Kali...
Mataifa ya AFRIKA mara yakisifiwa kupamda maendeleo kiichumi yanaporomoka baada ya muda mfupi.mfano Ghana, Kenya, Msumbiji na Sasa kuna dalili Tanzania inaelekea huko. Hii SI bahati mbaya. Nchi za Ulaya zinafanya kila juhudi kuzikopesha fedha ambazo wanajua zinaishia mifukoni mwa watawala na...
Ndiio maana hakukubali kwenda Dunduka Fc.atakuwa alifahamu tukio la kuwasha moto uwanjani kule south Africa na kufungiwa na kutozwa faini Gadiel Michael kwa ulozi akiwa uchi mchana msimu uliopita akiwa Ngada fc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.