Recent content by Pickaxe

  1. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda mfanyakazi wa ndani nyumba fulani, nataka nimvute ndani!

    Naomba ushee nami nijifunze toka kwako. Wamaanisha single mother au mfanyakazi wa ndani?
  2. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda mfanyakazi wa ndani nyumba fulani, nataka nimvute ndani!

    Shukurani kwa ushauri.
  3. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda mfanyakazi wa ndani nyumba fulani, nataka nimvute ndani!

    Nitaenda, nimeshapanga na yeye mwenyewe.
  4. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda mfanyakazi wa ndani nyumba fulani, nataka nimvute ndani!

    Ninajitambua na pia sio mara ya kwanza ndio nimeona mfanyakazi wa ndani. Nawaona mitaani, kwa majirani na hata k2a ndugu zangu. Huyu pekee ndiye kanivutia.
  5. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda mfanyakazi wa ndani nyumba fulani, nataka nimvute ndani!

    Habari zenu. Mimi ni kijana nakaa Dar na nina kazi. Elimu yangu ni shahada. Mimi nipo single ni muda mrefu kidogo sababu sikuwa napata mwanamke ambaye naona atanifaa. Kuna binti wa kazi nyumba fulani hapa Dar, nimetokea kumpenda sana. Huyu binti ni mwenyeji wa huko bara. Ana kama mwaka na nusu...
  6. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

    Wema ndio nani?
  7. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Habari za huku

    Mimi ni jinsia ya kiume.
  8. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Habari za huku

    Nimekosea kuandika. Ni asante.
  9. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Habari za huku

    Asamte sana.
  10. Pickaxe

    JamiiForums Tanzania Habari za huku

    Habari zenu. Natumaini ni wazima. Mi mgeni humu. Najitambulisha kwenu. Asanteni.
Back
Top Bottom