Recent content by pichipichinon

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya yaua eneo la Tengeru, Arusha

    tena mla vrobaaa mzuriii tuuuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya yaua eneo la Tengeru, Arusha

    hiace ilikuwa mpyaaa na ndo cku yakwanzaa barabaran hata hesabu ya cku nahic ilikuwa haijatimia vzur ndo hvo imepigwa kata funua watu tisa davooo au dereva au suka hata hajachubuka popote na mwanafunzi mmoja ndo wamenusurika tuu wengine tisa chaliii gar ilikuwa na mtu 11 tuu R.I.p kwa walotangulia
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa ulipuaji mabomu Arusha auawa na Polisi akijaribu kutoroka

    inavosemekana jamaaa ni mruka juu hzo round kick van dame anasubir inavosemekana alianzisha purukushan ili atoroke wakaamua kumuwahi. japokuwa haiingiii akilin mtuhumiwa wa ugaid asafirishwe kama kibaka wakawaida yawezekana ulikuwa mpango wakumfuta tuu maaana hawa jomba zetu hawakawiag kukulaza...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Drill inauzwa kwa shilingi ngapi?

    hyoo diririi sasaa haaahaaaa
Back
Top Bottom