Recent content by Physm

  1. P

    Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Vita ni hesabu, ukikosea hesabu unalambwa kichwa. Kujibu mapigano sio mihemko ya mapenzi. Na pengine irani hatojibu leo wala kesho kwa mtindo tunaoutaka sisi. Ila kibaraka yeyote wa marekani pale middle east atakabwa koo taratibuu mwisho atajifia mwenyewe. Irani anamakubaliano ya siri na...
  2. P

    Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Iran hawez mjibu israel kwa kumvamia kutokea tehran. Hapo anatafuta lunch site nzuri nje ya ardhi yake ili dawa iingie vizur na vibaraka wa israel wasifanye chochote. Israel atapigwa kwa akili sana, wala hakutakua na vita ya 3 ya dunia.
  3. P

    Itakuaje Iran ikitumia kombora la Hypersonic?

    Wapo watu wanaodhani irani anapiga mikwara kwa israel. Ukwel ni kwamba, irani ndio mastermind wa yote anayofanyiwa israel na vikundi vya iraq, syria, lebanon na yemen. Mpaka sasa inatosha kusema irani inampiga vikali israel. Wengi tunategemea irani ilushe bomu kutoka tehran. Hilo halotokaa...
  4. P

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    FAB-3000 Ndio version kubwa na ya mwisho. Ina tani tatu, payload ni 2 tonnes
  5. P

    The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    Ndugu zangu nimesoma degree yangu yakwanza ya ualimu, bachalor of education in science with ICT Nahitaj nisome law, naomba kujua naweza enda masters ya law ama natakiwa kuanza post gradute dip ya law kwanza NATANGULIZA SHUKRANI
Back
Top Bottom