Recent content by Phylo phylo

  1. Phylo phylo

    Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

    i feel like something is missing kwenye huu uzi, tuutangaze twiter watu waje humu tuongee vizur wabongo
  2. Phylo phylo

    Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    Wabongo wachache sana wanapiga pesa online kutoka western countries , na ukiona mtu anapiga pesa ujue amestruggle sana kupata channel hzo , kuanzia kuestablish payment methods mpka ela inaingia kwa account legally sio kitoto, kuna watu wanafanya content creation, wengine e commerce huko amzon...
  3. Phylo phylo

    Msaada jinsi ya kutoa pesa Neteller and Skrill to Tanzania mobile networks

    tuma skrill, alaf tafuta agent wa skrill to m pesa wapo shazi
Back
Top Bottom