|||
Rais Samia amenunua vitendea kazi kwa ajili ya sekta ya kilimo magari 44, pikipiki 6,444, vishikwambi 5,426, na vipima afya ya udongo 143, Trekta 500, Power Tiller 800 ndani ya miaka minne.
Tumenunua na kusambaza vitendea kazi kwa ajili ya kuboresha huduma za ugani na kuimarisha uzalishaji...
|||
Mpango wa Outgrower hujulikana pia kama mipango ya wakulima washirika ni mpango wa kilimo ambapo wakulima wadogo wanaingia kwenye makubaliano ya mkataba na kampuni kubwa ya biashara au kiwanda kinachojulikana kama mnunuzi mkuu au off-taker.
Wakulima hupanda mazao au kufuga wanyama kwa...
Serikali imejenga na kukarabati zaidi ya masoko 50 na maghala 360 ya kuhifadhi mazao. Vilevile, imeanzisha vituo zaidi ya 30 vya huduma za pamoja (One Stop Centers) vinavyotoa pembejeo, ushauri, mikopo na masoko kupitia agrodealers 1,200 waliopo karibu na wakulima vijijini. Miundombinu hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.