Recent content by phisto

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hivi na hapo Vatican wakatoliki huwa wanakutana jmosi asubuhi kusali jumuiya?

    Tatizo michango imezidi sana hapa niko na kadi za michango kama tatu na zote zimetolewa jana zatakiwa kuwekwa pesa,kifupi jumuiya zimekua kama vikundi vya vikoba ,watu wanazidi kuzikimbia, Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

    Niko na kambwa jamii ya manunu kana kelele hadi raha
  3. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kikweli Putin kawatukana sana west,nabado anawavua nguo Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
  4. P

    JamiiForums Tanzania Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?

    Kumbe kuna gesi Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
  5. P

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna Urusi alivyokwamisha "counteroffensive" ya Ukraine

    Hii itamletea shida ukrein zaidi mana wakati anangoja wafadhili mwenzake kawambia yapo stood yakutosha. Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
  6. P

    JamiiForums Tanzania Zelensky akiri kuwa Counter offensive imefeli, ailaumu Urusi kwa kuifelisha Counter offensive

    Putin kawambia mabomu ya mtawanyo wanayo yakutosha wana ngoja waanze
  7. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Leo Putin kawambia mabomu ya mtawanyo wanayo yakutosha Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
  8. P

    JamiiForums Tanzania Leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu

    Ivo mwitu kile weyangu,
  9. P

    JamiiForums Tanzania Marekani inaendelea kusimama kinyume cha amani

    Badala yake nchi za nato ndo zinapiga kelele kupinga upelekwaji wa mabomu hayo,
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Yani nimecheka atari,hawa ni wavamizi Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
  11. P

    JamiiForums Tanzania Walokole wadhibitiwe, wakiachwa hivi nchi haitakalika

    Wana njaa hatari wamechoka kimaisha hata kwa macho tu unajua,yupo mmoja nimemwona namanga hapa
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kipi kinafanya wasafiri wengi kupendelea kukaa dirishani wakati wa safari?

    Mimi ni mmoja wapo,kabla sijakata tiketi nasisitiza siti ya pembeni naniione ndo nitoe nauli Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kati ya Russia na Ukraine ndo kitazaa World War III (WW3)

    Mkuu kwa jinsi wamagharibi walivo na .n..y..e..g.. mshindo, kama mrusi ni dhaifu basi kwa sasa mda mrefu wangeshakiwasha na kuondoka,ila mzee hii ngoma nzito mana juzi wenyewe wamekili kuzidi kuitenga urusi ni kujiumiza wenyewe,
  14. P

    JamiiForums Tanzania Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

    Kuna jamaa mmoja alikua fundi baiskeli konk maeneo ya msasani, Laki ni ghafla akapotea kwenye ofisin ya ufundi baiskeli,juzi namkuta kwenye mduka mkubwa wa vifaa vya ujenzi nikashangaa,kuliza naambiwa sio moja Hilo duka yapo mengine nikachoka kabisa
Back
Top Bottom