Umekuwa tena mtaalamu wa homiletics kufundisha lugha ya mimbarini. Acheni ujuaji wa msioyajua! Unajua Yesu alimwita herode fox! Au herode alikuwa katibu kata!
Paulo anamwambia Timotheo onya, karipia, wakati ufaao na wakati usiofaa!
Sijui kama ni sahihi kusema anatoka Afrika. Nimekwambia Makadinali wote ni raia wa Vatikani! Hao mnaosema wanatoka Afrika ni raia wa Vatikani!
Labda uulize je Kardinali mweusi anaweza kuwa Papa? Jibu ni ndio kwa sababu kigezo cha kuwa Papa ni kuwa kardinali na sio rangi! Mbona Papa Francesco ni...
Sasa hili si rahisi sana angalia orodha ya nchi katika United Nations. Kweli sio kila anaongea Kingereza amesoma.
Kama sio nchi kwanini ina kiti Umoja wa Mataifa. Kwanini ina mabalozi katika nchi, hata hapa kwetu upo.
Mambo mengi hujui ila unajitia hujuaji.
1. Kwanini Italy wametangaza siku 9 za maombolezo?
2. Kardinali yeyote kutoka kokote anaweza kuchaguliwa kuwa Papa.
3. Makadinali wote ni raia wa Vatican. Hawaitaji visa kuingia Vatican, kwahiyo hao sio wageni.
4. Papa ni rais wa nchi ya Vatican ndio maana...
Pointi ni kwamba hakuna Jimbo la Vatican. Kuna jimbo la Roma ambalo askofu wake ni Papa. Onyesha huo ujinga hapo. Vatican ni kisehemu kidogo sana ndani ya Roma. Makanisa ya Kikatoliki ya Mashariki umtambua Papa kwa wadhifa huu tu Bishop of Rome!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.