Watu ambao hawajamjua Mungu, utajiri na mali, ni umasikini.
Watu ambao hawajamjua Mungu, hawajui fedha, na hawajui mali, ni za nani.
Haiwezekani, mtu ambaye hajamjua Mungu akawa tajiri, na akawa na mali.
Inawezekana, mtu akapata na mali, na akapata utajiri, kwa udanganyifu na njia zisizo...