Jaman mmetumwa kuwakilisha wananchi huko bungen jadilin mambo yatakayoleta maendeleo kwa nchi yetu sio kurumbana mnatengeneza picha gani kwa watoto wadogo wanaoangalia mnayotenda hayafanan na umri na hadhi mliyo nayo badiliken tufanye kaz kwa manufaa ya nchi yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.