Recent content by Philipo D. Ruzige

 1. Philipo D. Ruzige

  Kuahirishwa kwa Simba na Yanga ni failure ya

  Muda huu namuwaza yule mwamba alietoka kigoma by ngondi alafu leo game limechacha .wampe nauli aisee
 2. Philipo D. Ruzige

  Ushauri: TANESCO rudisheni Service Charges

  Kweli uchawi upo na wachawi tunaishi nao
 3. Philipo D. Ruzige

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Pamoja na uzoefu wangu mpaka kustaafu hawa siwafahamu. [emoji848][emoji848][emoji848]
 4. Philipo D. Ruzige

  Kichaa cha Wazungu kikipanda

  [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mi sijui bhana. Kama sikosei kikopo cha 350ml ilikua 5500/= mana ni muda sana
 5. Philipo D. Ruzige

  Kichaa cha Wazungu kikipanda

  Evian. Hayo maji yanauzwa bei kubwa balaa. Nilienda Shopper ya Mbezi beach nikashangaaa
 6. Philipo D. Ruzige

  Tecno wame partner na Actor Chris Evans wengi wanamjua kama Captain America kutoka Marvel Cinematic Universe

  Subir siku uone ameandika tweet ya kuisifia tecno , Ila signature "twitter for Iphone"
 7. Philipo D. Ruzige

  Tecno wame partner na Actor Chris Evans wengi wanamjua kama Captain America kutoka Marvel Cinematic Universe

  Sio hacker bali nimekua mteja wao kwa muda mrefu mpaka mpaka akili ilipofunguka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 8. Philipo D. Ruzige

  Tecno wame partner na Actor Chris Evans wengi wanamjua kama Captain America kutoka Marvel Cinematic Universe

  Hata wakipatner na Joe Biden. Haibadilishi ukweli ... Waboreshe tu simu zao
 9. Philipo D. Ruzige

  Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

  [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Na ndio ukweli mtu. Vitu vyake vingi ni low grade
 10. Philipo D. Ruzige

  Anayejua aina nzuri ya perfume

  Natumia spray yake. Ni safi sana. Tangu nimeanza haka kamjamaa sijawahi enda kwingine kabisa Perfume yake napataje?
 11. Philipo D. Ruzige

  Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

  Bro 6.4 unatembea nayo kwa daladala. Mimi nikishika 1m tu napanda uber/bolt .[emoji38][emoji38] Pole sana kiongozi
 12. Philipo D. Ruzige

  TECNO kutwaa tuzo ya simu pendwa baada ya kuishinda Samsung

  Performane hovyo. At least H6 nilienjoy kidogo. Nilizitumia na matumizi ya kawaida tu.
 13. Philipo D. Ruzige

  TECNO kutwaa tuzo ya simu pendwa baada ya kuishinda Samsung

  In summary: Infinix - Upuuzi uliochangamka tu Tecno - Upuuzi wa kawaida Itel - Upuuzi uliopooza [emoji124][emoji124]
 14. Philipo D. Ruzige

  TECNO kutwaa tuzo ya simu pendwa baada ya kuishinda Samsung

  Naomba nikwambie tu . Tecno ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu. Nimetumia simu za tecno zaidi ya 5 Nimetumia: T30 (button) T35 (button) P3 P5 P9 S5 W3 Wx3 LTE N8 S2 H6 Hizo zote nimetumia kwa kumiliki zaidi ya miezi 3 . Hivyo tunaposema tecno na upumbavu flani uliochangamka mtuelewe tu
Top Bottom