Recent content by Philemon2008

  1. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

    Ni kweli kabisa ndugu yangu.
  2. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

    Habari zenu wana jukwaa. Naomba kuuliza kuhusu biashara ya Nafaka namna ya kupata mahali pa kununua mfano.Mahindi,mchele, maharagwe.nk. Pia naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi, usafirishaji pia masoko, yaani mara baada ya kununua mzigo nawezaje kupata masoko ya uhakika ili biashara iendelee...
  3. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

    Kwa kweli huyo mtu aliyemrekodi huyo mdada ROSE SHIRIMA kakosea sana yaani.
  4. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

    Kweli mkuu umesema vyema nimekupata uzuri sana.
  5. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya nafaka

    Tanzania
  6. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

    Poa mkuu pamoja
  7. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

    Nilikuwa na plan za kufanya mkuu
  8. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

    Habari ndugu yangu.umeuliza swali zuri Sana naomba utakapo pata jibu nijulishe pia maana nina swali hilo hilo kama la kwako jamaa yangu.
  9. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya nafaka

    Habari za wakati huu wapendwa. Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage. Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿 Asante.
  10. Philemon2008

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Pole sana ndugu yangu, wanawake akili zao ni za kijinga sana ndio maana tuliambiwa ishini nao kwa akili.
  11. Philemon2008

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naweza pia kupata statement kupitia NMB App?
Back
Top Bottom