Recent content by PHILATHROPIST

  1. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Bila Magufuli SGR isingekuwepo

    Ila tunamshukuru sana...maana imagine angepewa mchina huo mradi wa sgr watanzania wasingeneemeka km ambavo wanafurahia kwa sasa kuwa na mturuki...nadhani wenye akili wamenielewa.
  2. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

    Equity bank nawakubali kuliko bank zote nchini...naomba tu waongeze matawi na atm ziwe nyingi...wataisoma namba inavoshuka wao watapitisha mishahara lkn hawatakuw na saving ya mtu ..
  3. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Je, kila tajiri hapa Bongo anatumia ndumba (kafara, majini, uuaji n.k)?

    Una hakika na usemacho au basi unaongea ili ujue
  4. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Je, kila tajiri hapa Bongo anatumia ndumba (kafara, majini, uuaji n.k)?

    Hii comment inafikirisha💪 yoyote ataje
  5. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Airtel na Airtel Money, Badilikeni

    Unajua dudus,,kuna changamoto moja bado ina nipa maswali sana kichwani juu ya kurudisha muamala na kuwa na access ya kuitumia tena mda huo huo...hii sehem inabdi waizingatie sana,mfano mimi nakuja kwenye duka lako kununua bidhaa,,nikasema sina cash naweza kukurushia kwenye simu yako ya kawaida...
  6. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Airtel na Airtel Money, Badilikeni

    Kwa mtazamo wangu nilidhani aliyebuni hii system angeweka kipengele cha ku withhold hicho kiasi endapo mtu atataka kuirudisha pesa,,mpka pande mbili zote aliyetuma na aliyepokea kujiridhisha thabiti kma muamala ulikosewa isiwe rahisi rahisi tu li mtu linaingia kwenye menu ya kurudisha muamala...
  7. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Airtel na Airtel Money, Badilikeni

    KOSA ni lao kabisa wanaruhusu vipi muamala kurudishwa kwa mteja wakti wanajua mimi ni wakal wao kwann wasiwasiliane nami ili kujirishisha kwanza ndipo waruhusu wao wanakurupuka tu kurudisha huu ujinga sana tena san...pumbavu zao...wananikera sana mm yani....
  8. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Airtel na Airtel Money, Badilikeni

    Halafu pia uwa nawaza aliyebuni hii system ya kurudisha muamala wewe mwenyewe nahisi kuna vitu vya ziada vinatakiwa kuongezwa isiwe rahisi rahisi tu mtu anaingia anarudisha muamala...hili liubunifu la kishamba tu naona ...bora hata ile ya zamani kidgo upige sim customer care ,,aggrr upumbavu...
  9. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Airtel na Airtel Money, Badilikeni

    Mmh hizi biashara za pesa kichefuchefu kweli ,,,yani mtandao husika wanafanya uhuni km huo dah asee inasikitisha sana ,ivi wanajua pesa ilivo ngumu uku mtaani..halafu bado umechukua jukumu la kusimama kam wakal wao tena kwa pesa zako mwenyewe umeweka ofisi vizuri kwa gharama zako wao kumiliki...
  10. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Napataje laini za Lipa kwa M-Pesa au Tigo Pesa?

    Hizo huduma za lipa naona baadhi ya watu wakija ofisi wanahitak sana..nahitaji nijue znafanyaje kazi
  11. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Serikali ilisema inakata tshs 1000 tu kwa nyumba za kawaida wamekata tshs 2000

    Mmmh hatari sana...ivi ndio mpaka 2025!!?
  12. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

    Polisi nilienda tatizo ukitoa hela ndio watafatilia sasa laki1 utashangaa umetumia laki3 na bado usipate hela yako..
  13. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Dumu la lita 20 mafuta ya kupikia sasa ni Tshs 90,000, bado yanaenda juu

    Ivi tafsiri ya "kazi iendelee"ni vipi au mimi ndio sielewi
  14. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

    Wazee w siku hizi wana njaa kuliko vijana...
  15. PHILATHROPIST

    JamiiForums Tanzania Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

    Ilikuwa ivi asee,,,mtu mzma mwenye hekima zake zote kafika kwenye ofisi yangu ya huduma za kifedha akitaka kutoa pesa...ila kabla alikuja na story kadhaa ooh ndugu ofisi yako nzur ila ingependez uweke hiki na hiki ili iwe bora zaidi nikamsikiliza vizuri sna na nikamjib ushauri wako mzuri...
Back
Top Bottom