Recent content by phidejoha

  1. P

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mjomba tafuta fursa nyingine ya kukuongezea kipato maana hapo naona bahati nasibu imekukataa[emoji4] [emoji4]
  2. P

    Jipatie Movies na seasons mpya kutoka Mabibo

    Sasa mzee mbona kama vitu vingi huna? Jipange au jua namna ya kufanyia kazi hayo
  3. P

    Bei ya vyumba vya kupanga musoma

    Nenda utapata Sehemu nyingi ni 50000x 3months
  4. P

    Natafuta marafiki walio serious katika kutaka kutimiza ndoto zao tufanye biashara arusha.

    We njoo, kuonana ni bure, kiongea ni bure, tenA hata ukitaka nikulipie nauli nitakulipia, wacha kiongea sana, njoo then wewe ndo uje utoe ushuhuda kwa wengine
  5. P

    Natafuta marafiki walio serious katika kutaka kutimiza ndoto zao tufanye biashara arusha.

    [QUOTE="Mr Miller, Nikwambie mr miller, kukariri kwako kunaweza kukusababishia kukosa vitu vzr, kwenye maisha ukiwa na maisha ya kukariri vitu unakua hauna tofauti na mtu mwenye mawazo mgando, mtu aliye serious huwa anayatafuta mafanikio kwa gharama yoyote, ttofauti na aliekariri kama wewe...
  6. P

    Natafuta marafiki walio serious katika kutaka kutimiza ndoto zao tufanye biashara arusha.

    Naitwa philip nipo Arusha, Natafuta marafiki walio na nia na wito katika kufanya biasha ili kutimiza ndoto zao. Wapo watu wengi wanatamani sna kufanya biashara lakini inakua ngumu kutokana na either kukosa support, elimu ya biashara au kushindwa kuchagua biashaa sahihi ya kufanya, kutokufahamu...
  7. P

    Amka, timiza ndoto yako na fursa mpya ya kiuchumi

    Siku zote mtu anaehitaji mafanikio anafahamika mkuu, kila mahali, nimeweza kuwatofautisha kutokana na namna wanavyopokea jambo, wanavyouliza, wanavyochallenge nk. So wala sipati shida na wewe mkuu.
  8. P

    Amka, timiza ndoto yako na fursa mpya ya kiuchumi

    Mwenye nia ataingia inbox kila kitu kinahitaji kuwa na nia kamanda, so atakaeingia inbox anaonesha nia ya kutaka kujua biashara najua tutaenda sawa, kwani unaona shida gani kufuata maelekezo mkuu, ni kitu kidogo sana unalalaaama duh!
  9. P

    Amka, timiza ndoto yako na fursa mpya ya kiuchumi

    Hellow friends Habari, Ninapenda kuchukua nafasi hii kukupa taarifa itakayoweza kubadili historia ya maisha yako kiuchumi,kama utaamua kuchukua hatua Taarifa ya fursa ya mafunzo ya biashara bureee itakayokuwezesha kutengeneza mpaka shilingi milioni moja na zaidi kwa mwezi kama ukiamua kuifanya...
  10. P

    Kwa wale wadada na wamama waliogoma kubweteka.

    hongera sana, inapendeza,
  11. P

    Lishe bora kwa watoto wadogo

    asante Dr. safi sana
  12. P

    Wapi naweza kupata wanunuzi wa madini ya Ruby?

    unayo ya cut au rough, tutafutane.
  13. P

    Anaehitaji karanga mbichi.

    ok, karibu
  14. P

    Anaehitaji karanga mbichi.

    mean kila wiki kuna gari inaingia dar na mzigo.
  15. P

    Anaehitaji karanga mbichi.

    mzigo naukusanyia songwe (mbozi) kila wiki gari inakuja na mzigo.
Back
Top Bottom