Hii kadhia unaipata kwa wanaume wavaa boksa, lakini wale wavaa chupi hadi leo huwezi kutana na kadhia kama hii.
All in all michepuko siyo dili ingawa ni raha kuwa mchepuko maana hupati shida ndogo ndogo japo kuna kupotezeana muda tu........
Mwaka juzi hapo Morogoro.
Nilikuwa kwa kaka yangu na yale maeneo kila mtu yupo ndani ya gate lake, Jpili moja tunaenda Church nikamuona mwanaume mmoja hivi ana makengeza na mwili mazuri sana.
Nilikuwa na watoto Wa kaka yangu, wakamsalimia na mm nikatoa salamu zangu kwake, ila moyoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.