Now nimegundua una IQ ya room tempeture, umetengeneza hoja around PHARAOH, ukabwaga big accusation kusema "pharaoh role model wetu".
Nilichohoji ni pharaoh yupi????? Unanijib niache ujinga NISOME upya
Hii ni list fup ya Pharaohs, sema yupi ni role model wetu
-Narmer
-Khufu
-Sneferu
-Khafre...
"Pharaoh" ni cheo, unamzunguzia pharaoh yup???
Pharaoh wa mwisho mwenye shina la Ugiriki alikuwa ni Pharaoh CLEOPATRA. Na hiyo ni 300bc.
Uislam umekuja miaka 800 mbele, the math is noy mathing
Maandamano ni HAKI ya kikatiba , hayatakiwi kupangwa kwa siri kill linayemhusu ashiriki na walengwa wajue, ili pia vyombo vya usalama walinde usalama wa waandamaji.
Kuvizia maandamano ni mwanzo wa MAPINDUZI (e.g ZANZIBAR REVOLUTION).
Ni vile tunaishi kwenye UNCONSTITUTIONAL COUNTRY
Madogo yana makubwa ndani, vidogo vinaondoa furaha na amani kwa kuwa unaamini ni vidogo havina tija unavipuuza. Unajikuta una hasira hujui zinatoka wap kumbe madogo yanakutafuna.
Nguo ya ndani ni kawida ila nikichukua point yako inabidi nimjazie kabati zima la nguo tofauti na time amby nengemnunulia nguo kwa kuwa ni zawad na ni nzuri na si kwa kuwa hapendezagi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.