Habari zenu wakuu, Mimi kuna demu nimemzimia anaitwa Miriam ila naogopa kumwambia asije akanipa jibu baya nikaumia. Mimi na yeye tuna hali tu fulani ya kujuana ila hatuna maongezi ya kivile hivyo inaniwiaga ngumu sana kumwambia hiki kinachonisibu moyoni mwangu.Ninachokiomba kutoka kwenu wakuu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.