Recent content by petrob

  1. P

    JamiiForums Tanzania Arusha: Tishio la CHADEMA kuandamana nchi nzima, Polisi wakesha wakilinda sehemu za wazi

    Vijana tafuteni kazi za kufanya kwa ajili ya maisha yenu ya baadae mtaumia bure kisa maandamano utadhani umehaidiwa ubunge unaumia wanakula wengine.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tupo tayari kufa kwa risasi za moto kwa ajili ya kesho ya Mtanzania

    Huna kazi ya kufanya kauze hata nyanya sokoni utaumia bure kisa unaandamana utadhani umehaidiwa ubunge
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Tanzania Daima kuwaburuza Polisi mahakama kuu

    Zombe was an individual person.huwez lishitaki jeshi ukashinda do not waste your time my friend jali familia yako ndugu.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

    Hv wanaoandamana hawana shughuli za kufanya nadhani mtu huwezi acha kibarua chako kinacholisha familia eti unaenda kuandamana.
Back
Top Bottom