Recent content by PETRO YOHANA

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisome vipi ili nifaulu Anatomy? Niko Clinical Medicine, somo lina mambo kibao. Nisomeje wakuu?

    Ross & Wilson anatomy and physiology for health ilness, Clinical anatomy by regions Snell, Clinically oriented anatomy, histology and cell biology. Netter's atlass of Human anatomy,
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

    acha kujibweteka kwani hao majirani zenu rwanda hawajaguswa na nusu tajwa hapo juu. vikwazo gani vya kielimu ikiwa karibia kila offisi mkoa wa kagera upo fresh? wanafunzi bora kitaifa wanatokaga kwenu acha siasa kijana
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

    yapo mengi sana ikiwa ni pamoja na wewe kujitambua usikae kae kizembe
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ya Umasikini Kimkoa Tanzania 2018

    Waambie waachane na mila ile maarufu.....
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuhama combination CBG to PCB

    geography X
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuhama combination CBG to PCB

    hapo kijana pambana na hali yako. jiulize kwa nini hukusoma geografia; pili kutosoma kwako masomo zaidi ya saba imeonesha KWAMBA uwezo wako ni wakawaida ila inapenda fani za kibabe. fungua hata famasi ya madawa ya wanyama kozi hizi SUA zipo.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Je, tulifikiria haya tulipoamua watoto wetu wasome wapi?

    KWA Bahati mbaya umetazama andiko hili kama lilivyopendekezwa na huyo mwandishi.. ila umeleta kitu kizuri maana sisi wazazi hatufanyi tathimini zaidi ya kupeleka watoto shule na kusifia kwamba mwanangu amepanda gari la njano. kikubwa ni kutengeneza mahusiano mazuri na mwalimu
Back
Top Bottom