Anajua kuwa ukipewa uwe tayari kurudisha anapokihitaji aliyekupa hivyo amekomaa ,sio mwisho Wa maisha,sio kama wale wanaoanza kutoa lawama wanapoondoka (Wanafiki)wataka maslahi tu,big up Mh,NApe,
Hongera kufukuzwa kazi si kuondoa riziki na karama uliyopewa na mungu vyote unaondoka navyo,bado utakuwa ni wewe kama mungu alivyokupangia,utampiga teke chura ........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.