Linaongelewa Jimbo la Butiama, nyumbani kwa Hayati Mwalimu J.K. Nyerere. Mbunge aliyemaliza muda wake ni Ndugu Jumanne Sagini. Aliyembwaga ni Ndugu Wilson Mahera. Am I correct?
Mkuu, hao waliochapwa walikuwa wafanyabiashara wa kununua vyuma chakavu.
Katika biashara yao ikatokea wameuziwa viti na meza za shule pale Arusha kama vyuma chakavu.
Walipokutwa navyo, pamoja na kujieleza mbele ya DC Kihongosi kama alivyokuwa, wakatandikwa viboko kama njia ya kuwafunza uzalendo!
Mkuu, hii ni ya zamani sana. Wakati huo Kihongosi alikuwa DC Arusha. Kwasasa amekuwa RC hukohuko.
Kimsingi, kitendo kilichofanyika kilikuwa ni kinyume cha sheria, taratibu na kanuni. Sijui kwanini waathiriwa hawakumburuza mahakamani.
Clayton Chipando almaarufu kama Babalevo, aliyekuwa mtiania na mgombea wa ndani wa Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kigoma Mjini amejiharibia. Kama ulikuwa ni mtego, umemnasa.
Kitendo chake cha kumpora 'kihuni' karatasi ya matokeo Katibu wake wa CCM wa Wilaya, aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.