KIZUNGUMKUTI: Waweza ita hivyo ama vinginevyo, lakini katika hili linanipa shida kwa ninavyoendelea kukua, kuishi na kuyaona mambo yanayofanyika katika nchi hii. Najaribu kujiuliza ni lini basi mambo haya yatafika ukomo? Kila tunapoamka yapo na yanaendelea. Najiuliza ni nani basi ataweza kuwa...