Recent content by petergeorge

  1. P

    Natafuta kazi nina certificite ya business administration

    Naitwa mariam James nina umri wa miaka 23 napatikana Dar es salaam natafuta kazi yoyote ya halali nitafanya nina uwezo mzuri wa kuongea kiingereza na kiswahili kwa maelezo zaidi napatikana kwa namba 0715758688
  2. P

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Jambo linalofanywa na wapinzani wa CHADEMA ni la aibu na la paswa kulaaniwa na wa Tanzania wote. Ikiwa serikali inapambana kutafuta haki ya TAIFA iliopotea kutokana na MIKATABA mibovu inayofanya serikali kupoteza mapato makubwa ambayo ingetumika kuendeleza maendeleo ya nchi yetu katika sekta...
  3. P

    Ipo siku tutamwelewa na kumhitaji sana Tundu Lissu

    LISSU NI MROPOKAJI SHIDI YA SERIKALI NA UROPOKAJI WAKE UNASHUSHA HATA KIWANGO CHAKE CHA ELIMU ,NASEMA HAYA BAADA YA KUFATILIA HOJA ZAKE ZOTE NA KUFATILIA ZIMEEGEA TU UPANDE WA KUKOSOA SERIKALI NA HAJAWAI KUSIFIA MEMA YA SERIKALI LAKINI PIA HOJA ZAKE ZIMEEGEMEA KIUCHOCHEZI KUCHONGANISHA SERIKALI...
Back
Top Bottom