Ok nimekuelewa mzee lengo sio kubishana ila kupata jibu ambalo litakuwa na mashiko zaidi, Sayansi unaundwa na fomula ambazo zinatusaidia kulijua jambo kwa ushahidi na kweli.
sayansi ina mkusanyiko wa Formula ambazo zinatengenezwa kwa lengo la kutatua matatizo au kuwasilisha maelezo ya kisayansi...
Nimekufatilia sana majibu yako inaonekana pengine unakitu unakijua zaidi tofauti na watu wengi kuhusu ulimwengu. Hauamini katikati uwepo wa Mungu (Imani). Na unaamini katika mchakato wa kawaida wa maisha, yaani ili kitokee hiki lazima ufanye hivi. Kiufupi iyo ndio sayansi inazingati ushaidi na...
Mwandishi wa kitabu: Peter Charlz
Mchoraji: Peter Charlz
Instagram / Twitter / Facebook: petercharlz255
Email: petercharlz255@gmail.com
Shukrani za dhati kwa kila alieshiriki kuandaa kitabu hiki.
Mhakiki : Augustino Peter
Instagram : babadenze
BOBOtheBEST Studios
Instagram: bobothebeststudios &...
Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.