Recent content by peter wa same

  1. P

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nipo babati nataka kwenda mbeya jiji au wilaya ya rungwe 0654800442
  2. P

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    lengo la ukawa ni kuiondoa ccm kwa namna yoyote na kwa kutumia mtu yoyote lowassa kazi hiyo anaiweza japo ni risk lkn tuiombee ukawa iitwae ccm
  3. P

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    uko morogoro sehemu gani na idara gani? mi Niko mbozi mlowo nataka kuja huko 0753062637
  4. P

    Msaada, Shule nzuri za binafsi wilayani Same

    zinajitahidi Ila mwanafunzi awe serious Ila kama kifedha uko vizuri kandoto, joyland ni the best
  5. P

    Msaada, Shule nzuri za binafsi wilayani Same

    chome sec au suji sec kiuchumi siyo mbaya
  6. P

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    anayetaka kuja wilaya ya mbozi kutoka morogoro manispaa tuwasiliane idara sekondari email peterelienea@gmail.com
  7. P

    Mishahara ya walimu

    hii serikali kila kukicha inatufanya tuichukie huku mbozi waalimu wapya karibia wote hawajapata salary ya mwezi huu huku ya mwezi wa 4 hadi leo na yenyewe kama utani vile. Dah! Inauma sana
  8. P

    Nini maana halisi ya Profession?

    profession ni ujuzi katika kazi fulani. vigezo vyake uwe umehitimu katika mafunzo ya ujuzi huo ipasavyo, swali la 3 cjalielewa plz
  9. P

    Nifuate malengo yangu au niisikilize jamii ?

    hongera kwa kufaulu mdogo wangu ila soma unachokihitaji ndugu wanaweza kukupeleka pabaya wanakushauri kusomea kitu kingine afu ukimaliza kazi hakuna na wenyewe huwaoni
  10. P

    Waungwana naomba msaada wenu

    number 2 katika kupata kazi naona itakuwa rahisi
  11. P

    Msaada kuhusu application ya HELSB

    hakurekebisha kwa sababu hakupata taarifa kama yalirudishwa ya waliokosea akawa amechelewa, ila uwe makini sana ili wakitoa tu wale wa marekebisho uangalie na ufanye kwa wakati ili dogo apate loan maisha ya chuo magumu sana bila hiyo kitu
  12. P

    Msaada kuhusu application ya HELSB

    cdhani kama atapata ungerudia tu kama inawezekana, mdogo wng mwaka juzi aliacha kuweka sahihi yake sehemu 1 tu hakupata kabisa
Back
Top Bottom