Recent content by Peter Snowden

  1. Peter Snowden

    Lowassa, Sumaye, Membe, Wasira, Makamba na Ngereja SIO WAGOMBEA HALALI

    Enyi Tume ya Uchaguzi Mlio Chini ya Serikali ya CCM. Watanzania wa Sasa wameelimika na Wanajua kila baya na Jema linaloendelea hata kama Hawasemi. Ila jambo ambalo si haki kwa Upinzani basi lisiwe haki kwa CCM kwa Maana litakosa Haki kwa Watanzania wote. Kuanza kampeni kabla ya Muda ni Kukiuka...
  2. Peter Snowden

    Huyu hapa ndiye Mgombea kwa Tiketi ya Chama

    Nimeamua kuweka Uzi huu kama Tetesi ili upate Maisha marefu ndani ya Jamiiforums. Safari yangu ya kikazi iliyonileta Visiwani kwa Takriban wiki 3 sasa ndiyo imenipa mwanya wa kuweza kuligundua hili. Kwa mtu ambaye yuko Makini katika kufuatilia mchakato wa mbio za kugombea ndani ya Chama...
  3. Peter Snowden

    Huyu hapa ndiye Mgombea kwa Tiketi ya Chama

    Nimeamua kuweka uzi huu kama Tetesi ili upate maisha marefu ndani ya Jamiiforums. Safari yangu ya kikazi iliyonileta visiwani kwa takriban wiki 3 sasa, ndiyo imenipa mwanya wa kuweza kuligundua hili. Kwa mtu ambaye yuko makini katika kufuatilia mchakato wa mbio za kugombea ndani ya chama...
  4. Peter Snowden

    Kumuweka bamdogo kugombea Urais, ni kwa maslahi ya wachache na sio Taifa

    Baadhi ya wazee wa Chama akiwemo Mzee aliyekuwa Arusha majuzi wameanza kukataa uwepo wa baba mdogo kwenye kinyang'anyiro hii ni kutokana na kuingia ama familia ya Baba kulazimisha aingie ili ailinde familia hiyo. Mtakubaliana nami kuwa familia hiyo ndio yenye utajiri mkubwa sana na wasiwasi...
  5. Peter Snowden

    Kazi maalumu ya kumchunguza mzee wenu imekwisha na majibu yaonyesha mnatolewa kwenye wagombea

    Hii ni Kutoka Taarifa za ndani kabisa. Kazi maalumu aliyopewa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara nyeti sana katika Serikali ya Kuwa karibu na Moja ya watu waliokuwa wanatarajia kugombea Urais 2015 imemalizika salama na Majibu yaliyokuja yameonyesha NEGATIVE. Yaani mgombea wenu mnaemshabikia na...
  6. Peter Snowden

    Mafuriko ya Urais yamekukwamisha Rasmi. Ikulu Sio yako tena

    Nimesimama hapa kukwambia kuwa MAFURIKO unayoshindwa kuyazuia kwa Mikono sasa yanakwenda Kuangamiza makazi yako. Mkuu hauna Jinsi tena lakini Nakuombea Heri tu. Kumbuka namna ulivyotoa Sapoti kwa Abbas ili mwanae ashinde lile shindano Kubwa ambalo lilimuweka Mshindi mtoto huyu Kada wa CCM na...
  7. Peter Snowden

    Vita vya Urais Vinaimaliza CCM, Wao kwa Wao kama Wapinzani wa Jadi

    Mkuu Uko sahihi kuna some words zilimiss, nadhani sasa inaeleweka
  8. Peter Snowden

    Vita vya Urais Vinaimaliza CCM, Wao kwa Wao kama Wapinzani wa Jadi

    Baada ya Kimya cha Takribani Siku Mbili, Niwathibitishie yaliyotokea Mkakati Namba 4 wa mada iliyopita tayari Matukio mengi yametimia. (Siku nilipoweka bango langu ndiyo siku ambayo Wachungaji waliandamana) na kesho yake wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma waliandamana. Kama Hautaamini Maandiko yangu...
  9. Peter Snowden

    SIRI NZITO Vita ya Urais: Lowassa na Membe Kuvurugana... Hatari ya CCM Kumeguka!

    Mniwie radhi kwa kupotea bila kujibu maoni na mawazo yenu lakini niwathibitishie kuwa Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Firauni Wakati naendelea na Harakati zangu za kupekunyua Kurasa zizizosalia nimekutana na kaugumu fulani ambako kameniwezesha kufika mpaka kwenye faili ambalo linatajwa kuwa...
  10. Peter Snowden

    SIRI NZITO Vita ya Urais: Lowassa na Membe Kuvurugana... Hatari ya CCM Kumeguka!

    Najua nitaRisk baadhi ya mambo yangu Binafsi ila kwa hili ninaahidi kulimaliza NOTE: Kuna picha 2 zimeambatanishwa za Scaned Documents ambazo zipo kwa Vijana wa Membe wamekamata ripoti yote ya Vijana wa Lowassa. Ninaahidi kuleta Kurasa zote muda wowote. Kwa sasa nimefanikiwa kupata hizo 2...
  11. Peter Snowden

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Lowassa ni mtu ambaye anaweza akaiongoza nchi vizuri. Sina Mashaka nae, lakini tatizo ni mambo ambayo amekuwa akitajwa kuhusika. Akiweza kukanusha au kujitetea basi atakuwa amejiweka sehemu nzuri sana.
  12. Peter Snowden

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    Hivi haya ni makazi ya watu au Samaki?
  13. Peter Snowden

    Mhe. Lema, Mhe. Msigwa na Mhe. Sugu kuendelea kukoleza moto wa Mabadiliko Morogoro

    There comes a time when one must take a position that is neither safe, nor politic, nor popular, but he must take it because conscience tells him it is right. REMEMBER, In politics, stupidity is not a handicap
  14. Peter Snowden

    Baada ya Chacha Wangwe kufariki, CHADEMA imekufa Tarime?

    Hii nayo ni mada au mazungumzo baada ya habari?
Back
Top Bottom