Recent content by peter malisa

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ndoa

    maelezo yako yanaonesha kuficha ukweli hasa kwa upande wako mkuu!!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Zitto mwana mpotevu Tumsamehe

    Naunga mkono wana CDM tumsamehe kijana wetu Zitto, japo majeraha hayatafutika kirahisi! ashukuriwe Mungu maana kupitia Zitto tumepata kujua adui yetu anawaza nini juu ya CDM.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Warioba:Tanganyika ina shutumiwa kwa kuvaa koti la Muungano na kufanya Tanzania ndiyo Tanganyika

    Katika hili nnamashaka na mbunge wangu wa sumve!
  4. P

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Mh.Rais J.M.Kikwete Unda serikali yenye watu hawa kwa kipindi hiki:

    Pinda ndio shock-absorber ya serikali yetu nahisi mh.Sitta hataweza kusitiri uovu serikarini.hapewi u PM!!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Siri zafichuka kung’oka mawaziri:Ripoti ya Lembeli yakosolewa;Dk. Nchimbi amwanika Pinda

    Hasara yetu tunawaziri mkuu anayetumikia mno serikali kuliko watanzania waliomwajiri!
Back
Top Bottom