Recent content by Peter M

  1. P

    JamiiForums Tanzania High quality vision research company(hqrv)

    Mwenye information kuhusu hii company naomba anisaidie. Walitangaza kazi za Research assistant kwenye zoom wanataka nicomferm kazi lakini nilipe 10,000 kwa mpesa au tigopesa! sijawaelewa hapo! naombeni msaada wenu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

    Acha dharau bhana!!!!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

    Inauma sana kama tutaanza kubaguana kwa kuangalia chuo ulichosoma bila kuangalia ufanisi wa kazi!! Sasa kazi tutapata kweli?? bado hajaangalia dini, mfuate kabila, mfuate mkoa ........... Wakubwa zetu mnatufundisha nini???
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri jaman, sijui nirudi kijijini

    Dada yangu pole sana ila usikate tamaa, endelea kusaka Mungu atakusaidia. Ila unapoexperienc hayo ujue mema yanakuja, cha muhimu endelea kujitunza usije ukafanya uamuzi wa kujutia baadae!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ninani Profesa Mbele??

    It so painful kama proffesor atakua na ufinyu wa kufkiri na kupembua mambo!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Haya kwa watoto wa wakulima udom shortlisted

    Shukran kwa updates!
Back
Top Bottom