Recent content by Peter Balilemwa

  1. P

    MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    Je, kilimo hiki cha tikitiki kinachukua muda gani hadi kuvuna... Na ukanda upi huwa kinakubali kwa Tanzania
  2. P

    Natafuta mke

    Inaonekana wa chini ya rika la umri huo gharama za kuwa tegemez ni nying sana pengine ndo maana amewakwepa ...
  3. P

    Natafuta mke

    Naona wako kimya au sifa ya 3 imewakwamisha kuchangamkia fursa..☺
  4. P

    Wadada muwe mnatoa migumo kwenye kwichikwichi!

    Duh, miguno mpk pesa kama gar litiwe maji kweny rejeta
  5. P

    Kinachowaweka njiapanda wadada katika umri wa kuolewa

    Swadakta maalim! Ktk hilo , linawafanya kujibania wigo wa kupata wenza sababu ya fikra potofu za kuolewa lazma upitwe umri na majina ya kijinga kama neno kiben10 mwisho wa siku wanalalama wanaume hakuna kumbe .. Wao ndio wamewajenga wanaume kuamini ktk kuoa ni vzur kuangalia mwenza ambae umri...
  6. P

    Kinachowaweka njiapanda wadada katika umri wa kuolewa

    Girls of nowadays are all after money, thy dont take love at first hand so far thy need a person who is almost already financially fine rather than finding together all those money in their relationship with is own suitor always it comes to be impossible.. Vipi kwan wazee we2 kipind hiko...
  7. P

    Kinachowaweka njiapanda wadada katika umri wa kuolewa

    Wanawake nao ni pasua kichwa kwa kwel unakuta kijn kama mm bado cjajiimarsha kimaisha yaani kiuchumi niko substandard so far vijipesa vya vidogo avinatatzo kwangu lakn eti anakubwaga anaenda kujenga mahusiano na danga la miaka 65 linampangishia nyumba, harafu eti anata mm nije kumuoa no way...
Back
Top Bottom