Huyu mtu kawa tajiri kupita maelezo na hii inatuchafua kwenye chama na kujiuliza hivi kweli ukuu wa wilaya na baadae ukuu wa Mkoa wa miaka Minne, umekuwezesha vipi kuwa na ukwasi kwa kiasi hiki?
Ni dhahiri ziko njia chafu umezipitia zilizokupa hayo yalokupa ukwasi huo. Mkuu wetu Katu hawezi...
Hapa nionavyo mimi ni kwamba, wengine wanaomba ushirikiano ili walete ushirikina kwa kuvujisha / kuchunguza kinachoendelea kimikakati na vinginevyo ili wasipitwe kuripoti wanayoyahitaji.
Kuweni watu wenye macho yamulikayo gizani.
Binafsi pamoja na mazuri mengine mengi aliyoyafanya nitamkumbuka zaidi katika utawala wake alivyodhiditi mfumoko wa bei. Bidhaa mbalimbali katika utawala wake hazikupanda hata kidogo na hata baadhi kushuka bei. Thamani ya fedha ilionekana.
Pumzika kwa amani mzee wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.