Recent content by Peter Acoustic

  1. Peter Acoustic

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Kasom vizur data zen utaelewa kawasikilizie aljaazira watakwambia Amna Athari yoyote ile makombora yote yalidukuliwa
  2. Peter Acoustic

    Natafuta kazi yoyote ya halali

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 23, natafuta kazi yoyote ya halali kwa muda sasa. Nina ujuzi wa; Diploma ya record management Diploma ya music production Pia naweza kufundisha watoto wa nursery, nipo vizuri japo nikipata sehem ya kujishikiza. NB: Naweza pia kufanya kazi makanisani kwa...
  3. Peter Acoustic

    Natafuta kazi yoyote halali

    Umeshapata mtu aisee hii fursa naezapata nikajishikiza mkuu
  4. Peter Acoustic

    Natafuta kazi, nina Diploma ya Music Production

    Nmemaliza chuo tangu 2020 Nina diploma ya Music production. Ni kijana wa miaka 23 Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri kwa watu wenye interest ya Kujifunza. Naweza kufundisha Watoto kwa wenye uhitaji wa kujifunza...
Back
Top Bottom