Vehicle officer Mwanza, ni usumbufu sana.
Ofisi hii imekuwa ni kero kwa jiji la mwanza,watu wengi wanasubiri huduma lakini yeye hayupo... na Cha kushangaza ofisi yote,yupo mmoja tu mkoa mzima.
Serikali inatakiwa kuliangalia hili kwa undani.
kilichootekea Leo kwenye mpira wa taifa stars vs Morocco kinaonyesha njisi Gani haki ya mtu ikiminywa huwa inauma sana...turudi wa wale masheik ubwabwa wanaosema Amani kwanza haki badae...ebu kaangalie mpira huo Kisha mjifunze
UTAWALA WA NYERERE.
•Hapakuwepo na mtoto wake mahala popote kisa Baba ni raisi.
UTAWALA WA MWINYI
•Watoto wote walikuwemo kwenye system, hadi watoto wa ndugu n.k
UTAWALA WA MKAPA
•Hakuna mtoto wake alisikika popote akifanya lolote kwa mgongo wa uraisi wa babake.
UTAWALA WA KIKWETE
•Miraji na...
Si kweli hiyo picha itakuwa ya zaman... airport walikuwepo watu wachache sana...Tena waliosombwa na mabus ya shule na daladala...nilikuwepo acha uongo hizo picha ni uongo mkubwa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.