Model 1997
odometer 85,000
bei million 13,700,000.
Namba chc
double airbag
haijatumika hapa tz.
Import from japan
check photo.
Contact 0756 600311, 0782 335151
Tafadhali naomba namba zako za simu ili tuweze kuwasiliana nione mahali tufanye biashara.
Au nipigie ktk namba hizi nilo serious 0715 800888 and 0756 600311.
Mwana Jf naombeni mawazo yenu kuhusu matikiti kuwekea mbolea za kisasa yaani Urea+Can+Npk hizi zinawekwa wakati mche una siku ngani naomba ufafanuzi wake na kipimo size gani kwa kila mche waungwana miche yangu ina wiki mbili sasa naomben msaada wenu ktk hilo jamani asanteni.
Asante kwa kutoa taarifa muhimu kwa wakulima. Mie nahitaji mipira ya kumwagilia shamba yaani drip irrigation pipe ningependa kujua hiyo ndio uliyokusudia kuwa unayo ama ni mipira ya kawaida uliyonayo nasubiri jibu lako ili niweze kukutafuta asante.
Yote mnayosema mjue kuwa hayo si mambo ya kuweka humu maana hayana faida yoyote kwa jamii wewe uliekumbana na hayo ujue kuwa sio jambo la kujisifu hilo ni kosa umefanya la dhambi kubwa na unavyojitangaza ndio unazidi kujipotoa, mie nakuombea uongofu kwa hayo.
Toyota rav 4 L
Import from japan.
Haijatumika kabisa hapa bongo.
Km 136,000
Model 1997
Engine 3S
cc 1998
Bei million 14, ukiwa serious tuwasiliane 0756 600311,0782 335151
Confirm ni model ya mwaka 1998
- Imetembea kilomita 136,000
- Hii gari iko Dar showroom kwa sasa lkn bei ya huko wanaanzia juu kidogo mie mwenyewe nitakupa kwa offer yako
Asante mkuu.
Habari njema hizo kutoka kwako kaka mie nitakupigia siku ja jumapili. ili niweze kupata ushauri zaidi wa kilimo cha umwagiliaji kutoka kwako natumai nitapata mwanga wa kuweza kutimiza ndoto yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.