Recent content by persie van medy

  1. P

    Sherehe za CCM Dodoma Zaingia doa, Wang'oa bendera ya CHADEMA, Aden Rage ashuhudia

    Yaani kma unaakili timamu utagundua tu kuwa kulikua na mkutano wa ccm ila jamaa kwa sababu zake anazojua mwwnyewe aliamua kiingia hapo akataka anachokijuaa mana ndo mpaka katikati ya uwanja wa mkutanoo????.mi mwenyewe katika vitu nnavochukia duniani moja wapo ni ccm ila haya mambo mengii...
  2. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Moyes unanitia aibu we na hao vijana wakooo..sasa hvi cna raha ya kijiwee wala njiani.. kila nenoo juu ya timu yetuuu,, Waaaiiiiii mr moyes?????? Waaaaaiiiiiiiiiii ?????????
  3. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yaani imenibidi nipande kitanda mana nsipolala ntaamka na hasira za mambo mawili,moja ni kijinyima usingizi halaf nikaamka na uchovu kwenda ofcn,, ba la pili ni kuangalia kipigo kutoka kwa timu ambayo ckutegemea hata kma wataharibu ratiba ya kupumzika na kutuchezesha leoo,,.... moyes we co...
Back
Top Bottom