Hayo ni maoni yako ila ukweli ndio huo kwamba anachukiwa kwa u..pu.mb.av.u wake na kwa matendo yake! Hata wale aliowafuata na kuwaua kule South Africa ni watusi na dunia nzima ilimchukia zaidi. Kama tungekua tunachukia watusi tungewarudisha tangu miaka ya 70 ili Habyarimana awaowe vizuri, lakini...
Kuna ushahidi kwamba Kagame alikwenda sokoni na kupiga risasi na mabomu kwa hasira sana. Unadhani hayo mabomu yalikua yanachagua mhutu? Pia kuna ushahidi wa kutosha kwamba kagame aliua watusi wengi sana akiwatuhumu kushirikiana na Habyarimana eti kwasababu watusi wengine walikimbia nchi wao...
Mbona tukisema Kagame we unasema watusi? Unadhani ni watusi wote wanaunga mkono muuaji Kagame? Usiombe msaada wa kuungwa mkono kwa kuwaingiza watusi wote kwenye kundi hilo! Tunawajua kwa majina na tutashirikiana na watusi kuwatafuta. Nani anawachukia watusi zaidi ya wahutu? Tanzania imewahifadhi...
Tunafahamu muuaji mkuu ni Kagame (Dunia nzima inajua), alivamia Congo akaua wakimbizi maelfu (kwake kila mhutu ni FDLR). Huyu ndio wa kutokomezwa kabisa ili amani irudi maziwa makuu. Kama unaniunga mkono tuunganishe nguvu
Sasa pilipili anayokula mtumiaji inamuwashaje mfanyabiashara? Hiyo 18% ni VAT ambayo wanatakiwa walipe hata kama watatumia utaratibu wa zamani. Ni upu..mba..vu mtupu kugoma kwasababu hiyo kwani kwa kufanya hivyo wanadhihirisha wazi kwamba tangu zamani walikua hawalipi VAT.
TRA watozeni VAT...
Mmekaa Congo miaka 12 mnawatafuta FDLR mbona hamkuwasambalatisha wenyewe? Janja yenu ishajulikana, Hakuna FDLR kule ni wizi tu uliwapeleka kule (Wizi wa mali asili na mpango wa kupanua nchi) wote tunajua.
Kagame is facing a very strong opposition within and outside Rwanda, so his only tactic is to twist rwandese's way of thinking so as to gain at least internal support. Tanzania agenda is just a musk to hide his main idea of staying on the seat perpetually...ofcoz like his brother M7.
IKO KITUNDA RELINI
1. Ina vyumba 3 vikubwa, Master bedroom, Kitchen ndogo, store ndogo, Sebule Kubwa, Dining nzuri
2. Iko fenced kwa kutumia tofali nzuri
3. Ina kiwanja kikubwa cha mita 25/30 (750 Square meter)
4. Ina Leseni ya makazi
5. Bei milioni 57, inaweza kupungua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.