Recent content by Perfect Mbogol

  1. P

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wanapasuana ndani kwa ndani mpaka moshi unatoka kwa nje!! Jamani agizeni popcorn tuone sukuma gang na timu msoga nani atashinda
  2. P

    JamiiForums Tanzania Usiri wa Hayati Magufuli na kutokuwa muwazi matokeo yake ndiyo haya. Rais Samia songa mbele

    Wacha waandamane eee waandamane ccm mbele kwa mbele,,,hatinywi sumu hatujinyongi ccm mbele kwa mbeleeeeeee,,,,,,,bi tozo mwenyewe ana habari sasa??
  3. P

    JamiiForums Tanzania Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

    Kwo kama in shetwaaani ulitaka aitwe malaika,,au????
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kahama: Rais Samia amwaga miradi

    Huyu nae anaweza kulala yoooo!!! Make mngu ni mngu mwenye wivu huwa hapendi kushea sifa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kahama: Rais Samia amwaga miradi

    Kwo hakuna kama samia inamaana kamzidi hadi mzee mwendazake??? Jamani kuweni msitari mmoja ili tuzijue rangi zenu make hatuwaelewi
  6. P

    JamiiForums Tanzania Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi

    Katiba kwanza afu ipuruni baadhi yamadaraka ili hizo nafasi zigombewe ama watu wafanyiwe usaili, au kila chama chenye sofa kitoe muwakilishi ndani yatume kwa mlinganyo sawa
Back
Top Bottom