Recent content by Pere dela nation

  1. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Nape Nauye amkubali Edward Lowassa kwa utekelezaji

    Amesemaje mpaka useme amemkubali fisadi papa Lowassa.
  2. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Vyeo na ubunge wa upendeleo, CHADEMA kama CCM; Tutemeni mate chini

    MBOWE asikusikie tu.
  3. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Vyeo na ubunge wa upendeleo, CHADEMA kama CCM; Tutemeni mate chini

    Hapo Chadema bado hakijapewa ridhaa ya kuongoza, kikipewa je? Balaa tu.
  4. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu kusimamiwa na JWTZ!?

    Nyenyere Inatakiwa mlipuliwe ndiyo mjue siasa hazitakiwi kwenye mambo ya hatari kama haya. Jumatatu yote hii unainaza kwa ujinga tu au ndugu zako ndiyo walikuwa mapangoni?
  5. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Hesabu hizi za CHADEMA sijui kama zitagawanyika au ni hesabu za kutazamia tu?

    yaani Ndesamburo anapumzika, Slaa anagombea? siyo kwamba wanalingana umri au kwa sababu njaa zao zinatofautiana?
  6. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA

    Sasa itakuaje active kama kuna ufisadi wa aina hiyo? Waambieni waache ktuzuga kuwa ni wasafi kumbe mafisi wakubwa.
  7. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA

    Mkuu, MBOWE na SLAA watatafuna sana hiki chama kwa sababu wao walishaonekana watakatifu , wale ambao wangewabana waache ufisadi ndiyo hao hao wanaowaona miungu watu, mbaka waje washtukiwe na chama kitakuwa kimekufa.
  8. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Nyerere: Jina la mwalimu linatumiwa vibaya na kambi ya Lowassa

    Na kwa nini Team Lowassa wamsingizie? au kwa vile wanajua hayupo hawezi kukanusha?
  9. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Nyerere: Jina la mwalimu linatumiwa vibaya na kambi ya Lowassa

    Tupotoshe mada, Lowassa ni feki kabisa, hafai.
  10. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Nyerere: Jina la mwalimu linatumiwa vibaya na kambi ya Lowassa

    Kwa nini iulizwe familia ya Nyerere? Kama kikichoandikwa ni uongo, si ajitokeze LOWASSA mwenyewe akanushe na atwambie wapi NYERERE alimsafisha?
  11. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Nyerere: Jina la mwalimu linatumiwa vibaya na kambi ya Lowassa

    Nyerere hakumkataa KIKWETE, alisema muda wake bado, na ndiyo maana muda wake ulipofika, alikuwa rais. LOWASSA ni fisi kabisa.
  12. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Nyerere: Jina la mwalimu linatumiwa vibaya na kambi ya Lowassa

    Semeni yote, ila maneno ya wazee wenye busara kama mzee Kasori si ya kupuuza hata kidogo. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
  13. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Nyerere: Jina la mwalimu linatumiwa vibaya na kambi ya Lowassa

    Huyu Katibu wa Nyerere , apewe ulinzi, Manyang'au wa LOWASSA wasije wakamhonga akqshindwa kutupa mbivu na mbichi.
  14. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Ntatangaza Nia Mapema Machi 2015 - Dkt. John Pombe MAGUFULI

    Kumbe hata hamjajipanga na propaganda yenu hii? Mlitakiwa mjipange vizuri, lakini hata kama aliuza ntumba, atakuwa alifanya hivyo kwa kufuata taratibu na hakukurupuka. Kwa hili naona mnatwanga maji kwenye kinu
  15. Pere dela nation

    JamiiForums Tanzania Ntatangaza Nia Mapema Machi 2015 - Dkt. John Pombe MAGUFULI

    Hatahitaji hata kufanya kampeni endapo ataamua kugombea.
Back
Top Bottom