Recent content by Percival

  1. P

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Hizo tuhuma zote au masuala unayomshauri ayafanyie kazi kama yana ukweli basi yeye alikuwemo na aliyashupalia aliokua kwenye serikali. Maneno yake hayana ukweli au lepe la uaminifu ni mtu mwenye tamaa ya shavu tu
  2. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

    Anazidi kuwa boya huyu. Sasa hili nalo ni la kutungia video. Mbona watu wote huomba vyeo au nyadhifa wanazo ona wana ufanisi nazo.
  3. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mama haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, halafu Tanzania Bara wanalipia

    Huyu Polepole anavyobwatuka ndio anazidi kudhihirisha kipeo chake Cha ujinga.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Kirumba lazingirwa na Polisi kisa Mkutano wa CHADEMA, baadhi ya watu wamekamatwa

    Kanisa, misikiti, hekalu, jamatini vikae nje ya siasa kabisa sababu waumini wao wako kwenye milengo tofauti ya kisiasa Hata kuwaweka viongozi wa dini kwenye nyadhifa za siasa si kitu kizuri.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani awatukana waarabu kuwa hawajastaarabika

    Ugomvi wa wanasiasa na wanahabari hutokea kila siku na kila mahali. Angalia Trump na media za Amerika. Pia huyo balozi wa Amerika aliotoa maneno huko Lebanon asili ya ni kutoka Lebanon Usisahau Trump alivvyo watukana waafrika kua wanatoka kwenye nchi za kinyeo Kwa usishangilie ukiona mwanasiasa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu kanisa la Ufufuo na Uzima (Askofu Mwanamapinduzi) akimbia nchi kunusuru maisha yake

    Kisha wanyonya kondoo wake kaamua kusepa baada ya kubainika uovu na utapeli wake.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Rostam katoa ufafanuzi nzuri na kamili na katenganisha pumba na nafaka. Hoja za watu waliofeli kama Polepole hazina mashiko kabisa. Polepole ni mla Kodi na Rostan ni mlipa Kodi. Polepole ni muajiriwa wakati Rostam anaajiri maelfu ya watu direct and indirect. Polepole anamaliza oxygen bila faida...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

    Wewe ujinga umepiga nanga kichwani hakuna namna ya kukuokoa. Unapoteza muda wako wote kuuandika huu ukoko wa uzushi badala ya kutumua muda huu kufuta huo ujinga sugu. Badilika
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wasira: Achana na Polepole, usijepata kiharusi bure!

    Polepole masikini uso umempauka kwa kujitia presha. Kusha ona hakuna anaempa heshima Tena. Rudi kwa mama umuabgukie miguuni upate radhi. Vinginevyo ni uchizi tu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndugu H. Polepole kuhusu mustakabali wa taifa na kuwapiga wahuni

    Nini anazungumza Cha maana huyu msudani wa kusini? Akili ziliisha mruka Sasa ni mropikaji tu. Kazi iendelee
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Acha silaha mkuu hiyo ni balaa , pia angalia quality ya askari kwenye paredi hiyo utadhani wamepagwa kwa lesser na pia walivyo wakakamavu. Sasa hapa chini angalia paredi ya Marekani askari wamekaa kishoga tu https://youtu.be/P3S4aTyab2U?si=rF5nSY6dUd9m57jo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Hizi ni fikra hatari sana kwa ustawi wa jamii duniani. Ikiwa kila mtu atakua mbinafsi haitaki kuhusika na kuendeleza kizazi kweli kutakuwa na mustakbali wa taifa ? Hizi fikra sumu kiwanda Kiko nchi za magharibi na zimeanza kutandaa duniani. Angalia nchi zao zinaanza kuathirika kwa kuwa na wazee...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

    Huyu anazidi kuchanganyikiwa na kukosa hoja, mara alete ya Cuba mara wapi. Mwahisheni hospitali ya wehu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Qatar Yaingia Mikataba ya Uwekezaji (MoU) na Nchi 5 za Afrika-Botswana, Zambia, Burundi, DR Congo & Zimbabwe ya $81 bilion (Tshs Trilioni 200)

    Kipofu utaonaje? Mtandaoni husomi habari za uchumi kutoka vyanzo vya habari vya ndani na nje. Wewe upo kwenye longolongo na porojo mtandaoni. Siku zote Kuna habari tangu miamba DP World iingie bandarini ufanisi umeogezeka na gharama za uendeshaji Zimepungua. Nchi za jirani Sasa Zina Imani na...
Back
Top Bottom