Recent content by pepo ya Mabwege

  1. P

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Nani kakuambia kuna upungufu wa mafuta wakati singida yanashuka bei bado hayanunuliwi
  2. P

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Wewe ndio mpuuzi tena hapo ungefurahia shooo
  3. P

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Majanga bibi yako, bila hao huwezi hata kutype humu ndani, kama uamini omba wagome siku moja. Kuna mwaka kigoma waliandamana waondolewe mipakani, siku iliyofuata waliandamana kwa machozi kuomba warejeshwe na wakawanachanga hela ya mafuta kufanya ulinzi, Mlioko mjini hamuoni umuhimu wao. MTU...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Na wewe pita, usiogope
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wizi mtandaoni

    Wahudumu wa airtel mbeya branch na mlimani city(kaunta namba 4)(yule dada mnene anaevaa kama Malaya na kukaa mapaja yote yako nje kama barmed wa kangaroo ) Wanaangalia salio za wateja kisha wanafanya mipango ya kuwaibia wateja, Mimi qamefanikiwa kukwapua 50,000= Viongozi wa airtel fanyieni...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Bwana wa Majeshi na hakuna Bwana wa polisi wala wahasibu. Alafu Mungu anapenda vita,
  7. P

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Tatizo mnapenda kutunishana misuli na wanajeshi, mpaka gari LA Jeshi unagoma kulipisha? What do you expect? Ningekuwa Mimi ningemuambia akupushi uingie mtaroni ubaki unalia na miti?tukienda bank hatupangi foleni ,tukipa road tunatanua, ukileta ujinga unapambana na hali yako kama...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Meya wa Jiji la Arusha (CHADEMA) amkaribisha Rais Magufuli nyumbani kwake

    Meya ndio mwenye mji was Arusha ndio maana kamkaribisha Arusha
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa mshahara

    Nani kafanikiwa kupata salary advance loan? Mwezi huu? Naona NMB chali, vyuma vimekakamaaa
  10. P

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Salary Advance Loan imewashinda bora muiondoe tuuu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: RC Gambo adaiwa kupigwa kwenye Mkutano wa CCM Arusha

    Mbona makada wengine wanakanusha?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

    Miaka 26 mzeee nenda kwa vibabu
  13. P

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Kijana afariki saa chache baada ya kuachiwa kutoka Kituo cha Polisi, yadaiwa alipata kipigo kikali

    Inasemekana alikamtwa na Polisi kwa kosa la uzururaji, Mabomu yanarindima kuwatawanya vijana wenye hasira muda huu ====== Kijana Allen mkazi wa Kata ya Iyela, alikamatwa juzi akiwa na Wenzake aliokuwa akicheza nao Pool Table a taarifa zinadai kuwa alipigwa sana na Askari wa Kituo cha Kati...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Philipo Mwakibinga wa WARAMI awajibu maaskofu wa KKKT; adai wanatumiwa na CHADEMA

    Naona Nafasi ya usemaji yuvisisiemu baada ya DAR kutoka haijapata mbada, Jokate for sure
Back
Top Bottom