Recent content by Pepo Punda

  1. Pepo Punda

    Nini kilichopelekea ukaachana na mpenzi wako wa zamani?

    Naweza kusema sikuwahi kumpenda mwanamke, kama ilivyokuwa binti huyu. Maana nilimkuta bikra, hilo ndiyo likanizuzua kabisa nikawa sijui kama ni mbuzi huyu kamba haijakatika. basi nilidumu naye miezi, nikiwa likizo ya kumaliza mwaka chuoni. Kisha nikaenda kumalizia mwaka wa mwisho, akiniahidi...
  2. Pepo Punda

    NI MIAKA SASA HATUPO NAYE

    Aliwahi kuwafanya wengine wampende na hata wengine wajute kumfahamu...... Aisee tulimtambua kama kubeli, je ulimtumia? Twambie ulipatwa na mkasa gani kisa kubwia hii
  3. Pepo Punda

    Picha kutoka maktaba

    kumbukumbu isiyopotea
Back
Top Bottom