Recent content by Penyenia

  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu juu ya kilimo cha Machungwa katika mikoa ya Pwani, Tanga au Morogoro

    Inachukua miaka mitatu hasa kwa hii ya kuunga.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    mkuu Utandu kumbe wewe ndio mmiliki wa mipapai hii, maana naona umeielezea mpaka umri wake kuwa inamiezi sita . Je unalimia wapi? Katika kuperuzi katka mtandao hiyo mipapai nimeikuta sehemu flan nikai screen shot
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Husninyo ahsante kwa angalizo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Job K ahsante kwa mchango wako, ila kuhusu kufka SUA napata changamoto kidogo kwani npo Tanga. Vinginevyo niseme tena ahsante.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    wajuzi wa kilimo cha papai nasubiri najibu yenu ,tafadhali msichoke kunielimisha.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Habari za muda wanajamvi! kutokana na dhamira yangu ya kulima papai naomba kueleweshwa yafuatayo: .Ekari moja kuingia mipapai 1000-1200 ni kwa umbali gani wa mche hadi mche na mraba hadi mraba? .Kutokana na michango nlopata humu jamvini na kwingineko, imenidhihirikia kuwa papai lipendwalo...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Nawashukuru wanajamvi kwa michango yenu, naamin kutokana na michango yenu nimepata kitu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Ahsanteni wanajamvi kwa michango yenu, bado naendelea kupokea michango yenu kuhusu wapi ntapata Soko la uhakika na aina gani ya papai inapendwa Soko ni.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Haya sasa nawasubir wàje@ Rafael wa Ureno
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Nawasubiri mkuu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Habari wanajukwaa mimi ni kijana nimeamua kujihusisha na kilimo. Nakusudia kulima papai mapema mwakani na nimedhamiria kuwa na mipapai takribani mia saba. katika hiyo mia saba, mia tatu nakusudia kuifanyia kilimo cha umwagiliaji na ilobaki kilimo cha kutegemea mvua. ENEO LA KILIMO, Nakusudia...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

    Erythrocyte, Msema kweli mpenzi wa Mungu! Nami nimekusoma, kwenye hili nami nmemsoma Nape zaid ya mistari iloandikwa.
Back
Top Bottom