Kuna mfanyakazi wa voda alipost. Anadai ukiwa na TIN na ukimpa posho anakuungia. Nataka kufuatilia zaidi kama ni official.
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Hii bandwith yake haishuki kulingana na traffic zilizopo. Mfano kwenye shared ukichukua 20MBPS hii inakua ni PEAK SPEED. Yani the maximum inayoweza kufika means itapanda na kushuka kulingana na traffic zilizopo au watu wanaotumia kwa muda huo. Na ndio maana kuna baadhi maeneo ya mijini zile off-...
Hawa jamaa wana bei mnoo....
Internet yao ni Dedicated ndiyo maana prices ziko juu.
World mobile nao prices zimesimama sana.....
Subiri Halotel Mkuu. Wana Home internet service ambayo itakua unlimited nayo wanadeploy mwishoni mwa mwezi huu kwa Unguja. Kwa Info zaidi utamuuliza huyu Dada
+255...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.