Recent content by PendoLyimo

  1. PendoLyimo

    Tetesi: Mauaji ya Oktoba 2025 yadaiwa kufikia zaidi ya 6,900. Yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye anawasiliana naye moja kwa moja

    Uneandika kama mtoto wa chekechea, hoja dhaifu hakuna ushahidi unaleta uduanzi kwa welevu
  2. PendoLyimo

    Samia na mapokezi kazini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Watumishi wa Ofisi ya Rais, Ikulu alipowasili Ikulu ya Chamwino, Dodoma mara baada ya kuapishwa.
  3. PendoLyimo

    GE2025 Mapokezi ya mgombea mwenza wa Urais CCM, Mbogwe

    MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya...
  4. PendoLyimo

    Mradi wa majiko banifu watambulishwa Kigoma

    MRADI WA MAJIKO BANIFU WATAMBULISHWA KIGOMA 📌 Majiko banifu 8,424 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Kigoma 📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi 📌 Kila Wilaya kupata majiko 1,404 📍 KIGOMA Wakazi wa Kigoma waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa...
  5. PendoLyimo

    DKT SAMIA ATUA NYANDA ZA JUU,AANZIA SONGWE

    DKT SAMIA ATUA NYANDA ZA JUU,AANZIA SONGWE Na Albert Kawogo MGOMBEA kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ametua Ukanda wa Kilimo leo Jumatano Septemba 3, 2025 na anaanza kampeni katika Mkoa Songwe. Mkoa huo wa Songwe...
  6. PendoLyimo

    GE2025 Mbio za kukinadi Chama cha Mapinduzi mkoani Geita zaanza kwa kishindo

    MBIO ZA KUKINADI CHAMA CHA MAPINDUZI MKOANI GEITA ZAANZA KWA KISHINDO 📌 Majimbo 7 kati ya 9 yapita bila kupingwa 📌 Kata 92 kati ya 122 zapita bila kupingwa 📌 Maelfu wakusanyika kusikiliza Ilani ya CCM 2025-2030 📌 Dkt. Biteko awasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Dkt. Samia...
  7. PendoLyimo

    Majiko banifu kupunguza matumizi ya mkaa na kuni Mbeya

    MAJIKO BANIFU KUPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA NA KUNI MBEYA . 📌 Majiko banifu 9,330 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Mbeya 📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi 📌 Kila Wilaya kupata majiko 1,555 📍 MBEYA Serikali ya Mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Ndugu, Rodrick Mpogolo leo...
  8. PendoLyimo

    REA yaendelea kutekeleza kwa vitendo mkakati wa nishati safi ya kupikia

    REA YAENDELEA KUTEKELEZA KWA VITENDO MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌 Majiko banifu 4,836 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoa wa Njombe 📌 Jiko moja kuuzwa kwa bei ya ruzuku ya TZS 8,850 tu . 📌 Kila walaya kupata majiko 1,209 📍 NJOMBE Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bi. Judica...
  9. PendoLyimo

    Waziri Mkuu: Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi ya nishati safi ya kupikia

    WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA AMEIHESHIMISHA TANZANIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌Aipongeza REA Kwa Kusimamia vyema utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi na Usambazaji umeme Vijijini 📌Awasisitiza Watanzania kushiriki Kampeni ya Nishati Safi ya Kupikia Ataja faida za...
  10. PendoLyimo

    Vitongoji 1,997 sawa na 88.4% vimepatiwa huduma ya umeme Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), iliyopita na inayoendelea...
  11. PendoLyimo

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    RAIS SAMIA AMEWASHA UMEME VIJIJI VYOTE ARUSHA 📌Vitongoji 936 vimefikiwa na huduma ya umeme Arusha 📌REA yaahidi kufikisha umeme kwa wakati ili kukuza uchumi wa wananchi 📍Arusha Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Wakala wa Nishati...
  12. PendoLyimo

    REA kuanza usambazaji na uuzaji wa majiko banifu mkoani Rukwa

    REA KUANZA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI RUKWA . Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Ndugu Msalika Makungu, leo Agosti 27, 2025, ametembelewa na ugeni kutoka Wakala wa Nishati Vijijini katika ofisi yake iliyopo katika mtaa wa 1 Barabara ya mkoani mkoa wa Rukwa.. Wakala huo ambao...
  13. PendoLyimo

    Makala ameiunganisha ccm vizuri

  14. PendoLyimo

    Chid Benz aruhusiwa kutoka Sober House

    SERIKALI YAREJESHA TABASAMU KWA CHID BENZ: AWAASA WASANI KUKAA MBALI NA DAWA ZA KULEVYA SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki wa hip hop nchini, Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye...
  15. PendoLyimo

    REA Kusambaza majiko banifu 10,650 mkoani Pwani

    REA KUSAMBAZA MAJIKO BANIFU 10,650 MKOANI PWANI 📌RC Kunenge aipongeza REA kwa kuhamasisha matumizi nishati safi *📌Mifumo ya umeme jua kuchochea upatikanaji wa umeme kwa asilimia 100 ifikapo mwaka 2030* 📍Pwani Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa jumla ya Majiko Banifu 10,650 Mkoani Pwani...
Back
Top Bottom