Recent content by Pelly

  1. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Wawili wote wa kike mmoja 13yrs old na wa pili 5yrs old 21 Dec 26 anafikisha 6yrs,labda useme hilo gap, asante
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa kike miaka 5 , anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele

    Asanteni sana, nilimpeleka dokta kasema ni pump ya ngozi kampa dawa vidonge vya allergy na ya kupaka ndiyo tumeanza kutumia nitawapa mrejesho
  3. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Labda tuanze kupitisha daftali au kadi, mbona harusi wanachanga budget hadi ya M60+?
  4. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Ilo nalo neno
  5. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Asanteni sana nyote, huyo ni mke wangu na ijumaa watamfanyia hiyo kitu nimesahau jina pale ocean road hospital, ila wenyewe wanasema ni kukwangua uvimbe ulionekana tumboni then maumivu ya tumbo yatapona, unajua tatizo hospital huwezi kwenda na vipimo toka kwingine so inabidi uanze moja ndiyo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa kike miaka 5 , anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele

    Asante mzalendo naifanyia kazi muda si mrefu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa kike miaka 5 , anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele

    Nitampeleka boss,nilikuwa namuangalia kwanza ila wiki hii vimezidi, nitampeleka pale Ekenywa hospital magomeni
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa kike miaka 5 , anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele

    Ndiyo, vina maji ukivitumbua na siku zinavyokwenda ndiyo vinazidi kuongezeka vipele
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa kike miaka 5 , anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele

    Inawezekana stress pia kauoga kwa walimu, nitawauliza walimu wake
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa kike miaka 5 , anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele

    Hapana,bado sijafanya hizo test naonaga kama uongo tu
Back
Top Bottom