Recent content by Pejokiss

  1. P

    Siasa za dunia hii; Tusaidiane kidogo hapa wapendwa

    Habari za wakati huu wapendwa! Binafsi nashangazwa sana na mambo yanayoendelea ulimwenguni. Tangu utotoni tumefundishwa na dini zetu kuhusu upendo na pia kuonywa juu ya siku za mwisho. Lakini kwa upande mwingine, inaonekana kama watu wenye nguvu, wanasiasa na mataifa makubwa hawaguswi kabisa na...
  2. P

    Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

    Dah kama unapata tikiti zuri miaka hii hongera sana mkuu,maeneo ya kwetu n balaa tupu
  3. P

    Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

    Hili n tatizo aisee,mm nahisi kemikali zimezidi lazima hatua zichukuliwe
  4. P

    Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

    Ladha pia mbaya yani huwezi elewa n kitu gani unakula
  5. P

    Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

    Wala sio kwamba nanunua tikiti zima,huwa napenda tu mida ya jioni nikiwa narudi mizunguko kusimama kwa washkaj wanaouza vipande kisha nachukua viwili vitatu,matunda hayana ladha kabisa
  6. P

    Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

    Habar za wakati huu wanaJF? Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua yakiongoza kwa utam na sukari basi n tikiti lakini haya matikiti ya siku za karibuni hayana ladha...
  7. P

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. P

    Nchi imegeuka ya wacheza kamari!

    [emoji3][emoji3]
  9. P

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kama taifa bado tuna tatzo kubwa sana,nchi imejaa ufedhuli kila kona
  10. P

    Ipi sababu ya kuendelea kwa mgao wa umeme?

    Hapo umenena mkuu,yani kama taifa bado tupo kweny usingizi mzito sana
  11. P

    Ipi sababu ya kuendelea kwa mgao wa umeme?

    Habari, Binafsi nimekua nikichukizwa sana na hili suala la mgao wa umeme wadau, wakati fulani kisingizio kilikuwa ni upungufu wa maji sababu ya ukame, ila hata baada ya kushuhudia wiki kadhaa za kiwango cha juu cha mvua mfululizo bado suala la magao wa umeme limeendelea, najaribu kujiuliza...
  12. P

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hata baada ya wiki kadhaa za mvua mfululizo,je mnaweza tufahamisha sababu ya kuendelea kwa kero hii ya mgao wa umeme?
Back
Top Bottom