Recent content by pedejee

  1. pedejee

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwaunganishie wananchi umeme bure, wakatwe kwenye luku. TASAF iweke utaratibu wa kuzilipia kaya masikini

    Bonge moja la wazo, hivi ndivyo tunavywotakiwa kushughulisha ubongo naiona idea hii ikiibuka kidedea
  2. pedejee

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

    Hiyo mechi yamwisho imechezwa leo?
  3. pedejee

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

    Umeshinda sh ngapi ndugu
  4. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Samut prakan vs buriram united weka GG Michi inaanza saa8 kamili weka mpaka mbupu
  5. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boooom 😋😋🏹🏹
  6. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Imeanza saivi
  7. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🤣🤣🤣nilijua ni chai tu ila wabongo kwenye hela utawakamata wengi
  8. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mnaimani zakijinga kweli mtu ukishare mkeka bila kuweka bet I'd unaibiwaje
  9. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Akituma slip hapa namuongezea 50k ya Uber kesho aende makao makuu kuchukua mpunga
  10. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hamna kitu tuonyeshe mkeka tuona acha kitudangaya boya wewe
  11. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi mgao siutaki aweke tu mkeka wake tuone alivyobet
  12. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unaweka 1500 unapewa 29m unakataa hawezi kuwa serious
  13. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yani isipotoa anaweza kuwa kichaa🤣
  14. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Simba vp leo wadau anatoboa? Tuweke day kubwa
  15. pedejee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Julian draxler to score a goal Wekeni iyo
Back
Top Bottom