Good idea weka namba mpesa tigopesa Na mitandao mingine
Bt mrejesho muhimu tuone jinsi ambavyo vijana wanawezapata ajira pia ...nakusaidiana kwa ujumla kama watanzania kwa umoja na mshikamano wao kufikia finencial freedom ...karibu mkuu nipo kuonyesha ushirikiano juu ya hili.
Ahsante mkuu lakini usifanye hvyoo mshahara wa dhambi ni mauti...means ukiwa wafanaya dhambi huonekani wewe bali mauti kwamba unakua unatembea Na mauti mda wowote yaweza kuchukua so I want to advice you neglect it....karibu lakin mpendwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.