Recent content by Peaceman ssambay

  1. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais kulala kwa RC, Itifaki inasemaje?

    Rc ana ulinzi na makamu wa Rais akiwapo ulinzi unamairishwa HAYA mambo pengine intelejisia nimeona Kuna shida akilala ikulu hii ya LEMA kurudi magereza intelejisia nimeona akilala kwake Hapati usingizi kabisaaa
  2. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Baba Sita Mungu alikuleta duniani umetutumikia vya kutosha Watanzania na sasa amekurudisha udongoni kama alivyokuumba kwa udongo. Mama Sitta Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina la Mungu lihimidiwe Amina.
  3. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Baba Sita Mungu alikuleta duniani umetutumikia vya kutosha Watanzania na sasa amekurudisha udongoni kama alivyokuumba kwa udongo. Mama Sitta Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina la Mungu lihimidiwe Amina. By Ole
  4. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania The Condolences of the late Hon Samwel sitta

    I and on behalf of my family I gave the Family of the late Samwel sorry for that saddle
  5. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania Dodoma as a Smart City?

    Real Dodoma is smart and Seif city
  6. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mwenyekiti wa UVCCM akamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kughushi nyaraka za serikali

    Majungu yakipikwa hugeuka kuwa kweli kwa wakati ila huwa hayadumu
  7. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

    Mliokuwa mnasema CCM B ni Cuf imegeuka Leo imekuwa act hata shetani anashangaa unafiki wenu ninyi wajanja nccr Cuf mmeichinjia bahari kazi nzuri mmefanya RAIS awape tuzo
  8. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania Polisi inawashikilia Mussa Sikabwe na Benjamin Nzogu kwa siku 11 bila kupelekwa Mahakamani

    Wewe unayetaka kupoteza Amani ya nchi unataka tukuache ufanye uyatakayo RAIS yuko sahihi
  9. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania Polisi inawashikilia Mussa Sikabwe na Benjamin Nzogu kwa siku 11 bila kupelekwa Mahakamani

    Jamani hapo hakuna uonevu manawafundisha Polisi kazi hata ingekuwa wew ungefanya zaid komesheni kwanza ukandamizaji uliopo Chadema
  10. Peaceman ssambay

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo Hali ya Kisiasa Zanzibar

    CCM kamwe haiwezi wewe seka Nabii Edward LOWASA wa chadema alisema kweli 2015 kama mwaka huu upinzani hautachukua nchi mtasubiri kwa Miaka mia nabii huwa hakani Maneno take hapo vipi
Back
Top Bottom